Tuesday, June 30, 2009

Rest In Peace Bro...


Dah pengo kubwa kwa mashabiki wote wa Music,sisi ni one of them....Mungu ailaze Roho yake mahala Pema Peponi.Love Ya MJ

Happy Day....Oh Happy Day!

From left,Makamua,Joseline(Former Mkali Kwanza) and QJ..From receiving ana award of the Best RnB song of the year(Natamani)
One

We Both like Music' aint U?


We like Music,vipi wewe?do u?basi kama U like Music too just go to www.myspace.com/wakalikwanza so that uweze kusikiliza the track

Thursday, May 21, 2009

Namtamani Michael Jackson, naota kufikia levo yake-QJ


INTERVIEW SOURCE NA ABDALLAH MRISHO

Leo tunacheki na Joseph Calvin Mapunda ‚’QJ‚’ kutoka ndani ya familia ya Wakali Kwanza.
Hot Corner: Mambo vipi QJ, unanawili tu mzee, unogea maziwa nini?
QJ: (Kicheko), Duh! Kama naogea maziwa, basi umaskini umeisha.
Hot Corner: Mh! Niambie unaponyooshewa vidole mitaani unajisikiaje?
QJ: Najisikia vizuri sana, hiyo huwa inanipa uelewa wa jinsi jamii inavyonichukulia.
QJ: Namtamani Michael Jackson, naota kufikia levo yake
Leo tunacheki na Joseph Calvin Mapunda ‚’QJ‚’ kutoka ndani ya familia ya Wakali Kwanza.
Hot Corner: Mambo vipi QJ, unanawili tu mzee, unogea maziwa nini?
QJ: (Kicheko), Duh! Kama naogea maziwa, basi umaskini umeisha.
Hot Corner: Mh! Niambie unaponyooshewa vidole mitaani unajisikiaje?
QJ: Najisikia vizuri sana, hiyo huwa inanipa uelewa wa jinsi jamii inavyonichukulia.
Hot Corner: Kitu gani ni muhimu katika maisha yako?
QJ: Wazazi wangu.
Hot Corner: Ukipata chansi ya kukutana na Rais utamshauri nini?
QJ: Nitamshauri aungalie muziki kwa macho mawili, pia azingatie hakimiliki.
Hot Corner: Msanii gani wa hapa nyumbani unatamani kufanya naye kazi?
QJ: Ni Prof. Jay, ananivutia kwasababu jamaa anaimba kile kitu kinachoigusa jamii.
Hot Corner: Unatamani kuwa kama staa gani wa majuu?
QJ: Namtamania Michael Jackson, naota kufikia levo yake.
Hot Corner: Nini malengo yako miaka 10 ijayo?
QJ: Kuwa wa kimataifa na kumiliki studio yangu mwenyewe.
Hot Corner: Mkeo unapenda awe na tabia zipi?
QJ: Msikivu.
Hot Corner: Mbali na muziki unapendelea nini kingine?
QJ: Napenda soka.
Hot Corner: Katika soka la Bongo, unaifagilia timu gani?
QJ: Naifagilia Yanga.
Hot Conner: Poa mtu wangu.
QJ: Ahsante.

MACK PAUL SEKIMANGA




Mack Paul Sekimanga, known commercially as Makamua was born in August 9, 1985. Since his childhood, he enjoys listening to music and wanted to become a singer just like Michael Jackson. On the other hand, his mother wanted him to finish his education then he can venture into music. As Makamua recalls "I was there crying all day long, asking my mother to join my friends and I on our singing sessions and she would reply back you have to own a degree Mack and then go into music, that was torture to me".Makamua attended St Mary's International School and then moved to Feza Boys where he completed his primary education and started his O-level studies at the same school. By the end of the nineties, he began writing lyrics, hiding them in his school bag as he wanted nobody to know what he was doing after school hours. After completing his O-levels in 2004, he joined together with his friends Joslin and Q-Jay to form a musical group 'Wakali Kwanza'. He recorded his debut single 'Wanatamani' at MJ records, the track was an instant success, peaking top spots on the charts. The same year, he released another successful R&B Hit single 'Rudi Nyumbani' featuring Enika During this period, he became a draw in the Dar-es-salaam music scene, getting props from R&B music lovers. "I felt great when I heard people talking about me and my work, also I got nervous at times but kept it tight from there" Makamua says. Then he joined Makongo High School for his A-level studies and was M.I.A for about two years. In 2007, he released one of the Top Radio R&B Hit singles of the year, 'Why' featuring Chidi Benz. The track was nominated for the "Best Collaboration Song of the Year" at the 2008 Kilimanjaro Music Awards, "Being nominated is respect enough, thanks to all my fans who are there for me, I'm proud of them as I know, no me without them fans" he said. After 'Why', Makamua released 'Hunijui' featuring AY, a track based on a real life experience. ''Hunijui' is a track based on a real life story, so I said to myself I had to do it" says Makamua. At the moment, he is putting the finishing touches of his debut album which will be ready by the end of August and promising his fans an R&B album that they are supposed to have in their CD/Tape/MP3 collection. He thanks his family, Dj Steve B, Sarah Peter and all his fans for their support throughout his musical career. From the days of 4Krewz Flava, Makamua is definitely the saviour of Bongo R&B music. Wakali Kwanza

WAKALI KWANZA

WAKALI Kwanza kwa ujumla ina members watatu ambao ni Makamua,QJ, pamoja na Zadao.
Pichani ni Joseph Mapunda,QJ pamoja na Mack Paul,Makamua.aadhi ya kazi ambazo zimeweza kuwatambulisha vyema kwenye medani ya muziki ni pamoja na 'Rudi Nyumbani', 'Sifai',Why',Lonely,na 'Natamani' ambayo imetupatia tuzo kama nyimbo bora ya rnb mwaka 08/09.

WELCOME TO THE WORLD

Watu wengi wamekuwa wakiuliza njia mbalimbali za kuweza kutupata WAKALI KWANZA..Ombi limesikika na leo hii tupo on air in www.wakalikwanza.blogspot.com
With our blog utaweza kupata kila kitu kuhusiana Wakali Kwanza naamanisha upcoming show na mambo mengine yote yanahohusu Wakali Kwanza...Karibu
Wakali Kwanza