INTERVIEW SOURCE NA ABDALLAH MRISHO
Leo tunacheki na Joseph Calvin Mapunda ‚’QJ‚’ kutoka ndani ya familia ya Wakali Kwanza.
Hot Corner: Mambo vipi QJ, unanawili tu mzee, unogea maziwa nini?
QJ: (Kicheko), Duh! Kama naogea maziwa, basi umaskini umeisha.
Hot Corner: Mh! Niambie unaponyooshewa vidole mitaani unajisikiaje?
QJ: Najisikia vizuri sana, hiyo huwa inanipa uelewa wa jinsi jamii inavyonichukulia.
QJ: Namtamani Michael Jackson, naota kufikia levo yake

Hot Corner: Kitu gani ni muhimu katika maisha yako?
QJ: Wazazi wangu.
Hot Corner: Ukipata chansi ya kukutana na Rais utamshauri nini?
QJ: Nitamshauri aungalie muziki kwa macho mawili, pia azingatie hakimiliki.
Hot Corner: Msanii gani wa hapa nyumbani unatamani kufanya naye kazi?
QJ: Ni Prof. Jay, ananivutia kwasababu jamaa anaimba kile kitu kinachoigusa jamii.
Hot Corner: Unatamani kuwa kama staa gani wa majuu?
QJ: Namtamania Michael Jackson, naota kufikia levo yake.
Hot Corner: Nini malengo yako miaka 10 ijayo?
QJ: Kuwa wa kimataifa na kumiliki studio yangu mwenyewe.
Hot Corner: Mkeo unapenda awe na tabia zipi?
QJ: Msikivu.
Hot Corner: Mbali na muziki unapendelea nini kingine?
QJ: Napenda soka.
Hot Corner: Katika soka la Bongo, unaifagilia timu gani?
QJ: Naifagilia Yanga.
Hot Conner: Poa mtu wangu.
QJ: Ahsante.

No comments:
Post a Comment